webnovel

New life between john and jane

Baada yakifo cha mama wa jane maisha mapya ya upendo kati ya jane na john yalianza

Jane alianza kubadilika na kuanza kurudi nyumbani usiku na alipo muuliza jane alikua mkali ,kwakua john alimpenda sana jane aliamua kukaa kimya japo kua alikua anaumia moyoni

Siku moja jane alimwambia john" John mimi ni mwanamke mrembo sana na hitaji matunzo ya gharama na pia nauchukia umasikini kwakua ulichukua maisha ya mama yangu kipenzi na siwezi kuvumilia kuishii katka hali hii ya umasikini hata kama nakupenda kiasi gani"alisema jane kwa john 'john alimjibu jane"tafadhali mpenzi wangu jane nakupenda sana nipe muda kila kitu kitakua sawa Niamini mpenz wangu"

Jane akamjibu john kwa hasira " nmechoka nmechoka nielewe nmechoka"

Akaondoka nakumuacha john peke yake chumban. Akiwaza namna yakuokoa penzi lake

Siku moja jane alikutana na rafiki yake aliye potezana nae zaman wakat wanasoma na alimkuta akiwa amenawili sana akamuuliza " mpendwa rafiki nipe sili yamafanikio yako maana umependeza sana name nmechoka kuishiii katika maisha yakimaskini "rafiki yake akamwambia sawa nitakusaidia lakn unapaswa kuwa jasili maana vizuri hughalamiwa jane

Jane"niko teyali kwakila kitu rose"

Rose"sawa"rose akaanza kufanya mchakato wakumuunganisha na mzungu ambae yeye alishawai kumpora fedha na kukimbia nazo