webnovel

Jane’s choose

Baada ya wiki moja jane alianza kubadilika kabisa kwakua alikua ameshapata mwanaume mwengine ambae ni mzungu .John alipojalibu kumwambia jane mbona umebadilika jane alimjibu jane kwa dharau" tafuta pesa usiku na mchana iliuweze kunirudisha kua jane wazamani"

John alimuuliza jane unanipenda jane hakujibu akaweka mtima wa john maumivu na john akaapa kutopenda kamwe

Baada ya siku kwenda jane alitumiwa picha na yule mzungu na jane akazikubali na jamaa akamwambia. Jane nitakulipia ghalama za safali

Jane aliondoka na kumuachia kidonda kikubwa sana john

Maisha ya john yalibadilika na aliumwaa sana na uchumi wake uliyumba sanaa kwakua alianza pombe

The medicine

Baada ya muda kupita john alipona na arilejea katka hali yake ya kawaida na alianza biashara zake kana awali.. baada ya miez kadhaa john alipata mwanamwali yaani mpenzi mwengine aliyeitwa zack.zack alimpenda sana john na alimjali lakin John akumpenda zack lakini alimjali pia na hata alipo muuliza kua "unanipenda" alimjibu hakutaka kuupa moyo wake maimivu hadi aseme hatokuja kupenda kamwe

Mapenzi ya john na zack yalishamili sana na John alimvisha pete zack na uchumba na akapanga kumuoa .mipango ya ndoa ilifana na akaanza kukusanya michango ya harusi