webnovel

John’s life

Katka mji wa dar es salaam nchini Tanzania kulikuwepo na kijana mwenye umli wa miaka 25 ambae alikua anaishi Temeke huko Dar es salaam kijana huyu alijihusisha na biashara ndogo ndogo za kuuza nguo na viatu vya watoto kijana huyu alikua anaishi mbali na baba na mama yake hivyo

Maisha ya kijana huyu yalikua niyakwaida sana kwakua alikuwa anapata kiasi ambacho walau kilikua kina kidhi haja ya maisha yake na kijana alijulikana kwa jina la JOHN

John and jane

Jasili john alipokua anendelea na shughuli zake siku moja alikutana na msichana mrembo sana katka soko maarufu jijini dar es salaam Alikutana na msichana mperembo na kama ilivyo ada ya upendo hausubili alitokea kumpenda ghafla alisema john"samahan dada naweza kukufaham maana kuna hali ya tofauti katka moyo wangu baada yakukuona samahan kama namekuudhi"yule bint alikubali ombi la john na alijtambulisha kua anaitwa jane na akakubali kumsikiliza kila atakacho sema

John alimwambia jane azma ya jane kua ametokea kumpenda na jane alikubali ombi lake ile ile siku waliyo kutana pale soko kuu ( kaliakoo)

The begging of new life between John and Jane

Maisha mapya kati ya wapenzi hawa yalianza walipenda sana kama wanavyo paswa kupenda

Na jane alikua anaishi kwa john lkn baada ya miaka kadhaa mama wa jane alifaliki dunia kwa maladhi ya malaria .ni maladhi ambayo yalikua yanasumbua sana kwa kipindi hicho .

Kabla ya kifo cha mama yake jane na mpenzi wake john walipambana sana kuokoa maisha ya mama huyo lkn walishindwa kwakukosa pesa za matibabu.