webnovel

John’s safari

Wakati karne ya ishilini inaingia john alikua ni moja ya vijana ambae wamekua katka sayansi na teknolojia .alikua anamiliki simu janja(smartphone)..siku moja wakati amekaa katka ubalaza akipapasa kila kitufe alipokea ujumbe kutoka kwa jane (mpenzi mteule najua ubugheli wa afya na huyo mpenzi wa sasa .lakini mimi niliko siyo pema na uzishwa madawa na lazimishwa ngono nakuomba john njoo uniokoe kwenye hichi kifo hii nj namba ya msamalia utakueleza nilipo)

John alikaa akiwaza namna atakavyo nusuru maisha ya jiwa wake kipenzi

Na alifanya uwamuzi

John aliamua kumfuta jane alipo .john aliondoka bila ya taalifa akasafili kwa bahali,ardhi na anga

Lakn aliwasili .john alifika mpka kwa msamalia mwema aliye elekezwa na jane na alipofika kwa huyo msamalia alionyeshwa sehemu ambayo njiwa wake yupo

Na kweli hapakua pema

Alipo fika kwenye lilejumba alikutana na walinzi wengi walio shika mitutu na mbwa wakali pale .lakini john hakusita alijitambulisha kama kaka kwa jane akaruhusiwa kuingia ndani

John alipo fika ndani alikutana lile jitu la kizungu lenye tatuu kila kona ya mwili wake na mwenye wapambe wengi wakike na wakiume .mabinti wadogo wakimfanyia masagi wengine waki muhesabia chenjiii na huku mwengine waki mchezea nyetii

Jane alijitambulisha tena kama kaka wa jane na alimuomba yule mafia kuondoka na jane maana mama yao anaumwa sana John alisema"nakuomba kiongozi mama yetu ni mgonjwa haswa na paswa kwenda na jane nakuomba kiongozi"

Yule mafya akasema mchukueni huyu kijana muwekeni sero .john aliwekwa sero kwa muda wa masaa manne mpka jane alipo kuja kutoka kule aliko agizwaa na mafya

Jane alipo fika aliulizwa na mafya kwa hasira "huyu mbwa ninani wako" jane alijibu kwa uwoga akasema "ni mpenz wangu mkuu"

John akamuuliza jane kwa sauti ya chini jane unanipenda lakini jane hakujibu akautia moyo wake maumivu tena

Jane alipewa bunduki na mafya hakusita

Akchukua risasi akaingiza

Akaambiwa ampige lisasi hakujali akampiga John lisasi ya kichwa

Na john akafaliki dunia palepale

John akatukumbisha kua upendo ni sadaki ya damu na pesa

John akatukumbusha romio na juliet.samson kwa derila katka hukumu ya agano la kale.akatukumbusha jack katka titanic

Hiyo ndiyk hatia ya mapenzi ya john kwa jane