kuwa famous shida sana. I love Eris, Killian and Deb, i can already imagine the chaos pale meshack akijua kuwa mdogo ake anampenda gf wake, uuuuh. Ila flow ya story ni noma aisee, adi najisikia raha kusoma
yani momo tokea shule ulikuwa unaandika vitabu, mi nakuombea ufike mbali. unajua sana sana sana, kama hii story yani ni kiburudisho, unaonekana kabisa unapenda unachofanya, Mungu akubariki